NYOTA wanne wa kikosi cha Azam FC ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa wanajukumu la kupambana kwa ajili ya taifa la Tanzania ili kufikia malengo ya kufuzu Afcon 2021 nchini Camroon.
Ikiwa imecheza mechi 10 imekusanya jumla ya pointi 25 inafuatiwa na Azam FC ikiwa na pointi 24 na Simba ipo nafasi ya tatu ikiwa na pointi 20.
Nyota hao ni pamoja na David Kissu Mapigano, Abdallah Kheri, Iddy Suleiman (Nado) na Salum Abubakar (Sure boy) wote kutoka Azam FC.
0 COMMENTS:
Post a Comment