December 28, 2020

 


KIUNGO mkongwe ndani ya Klabu ya Simba kipenzi cha mashabiki, Jonas Mkude amesimamishwa ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck.


Taarifa ambayo imetolewa leo na uongozi wa Simba imeeleza kuwa amesimamishwa kutokana na masuala ya utovu wa nidhamu pamoja na masuala mengine.

Habari hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikia ili kamati ya nidhamu iweze kufanya uchunguzi juu ya tuhuma zinazomhusu Mkude.

Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-



13 COMMENTS:

  1. Mchelea mwana kulia hulia yeye.Taarifa za tuhuma za utovu wa nidhamu wa Mkude hazikuanza leo wala jana lakini uongozi ulikuwa unamuendekeza pasi na kutilia maanani kuwa ni kufuga ugonjwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. ALIKUWA ANAONYWA KIMYA KIMYA BILA BARUA, UNAJUA PALE KUNA KAMATI YA ROHO MBAYA: WAKINA HANS POPE, TRY AGAIN HAWA WATU WAKIMWAMBIA MO HUYU ATEMWE UNATEMWA TU, LAZIMA UTEMWE

      Delete
    2. Hahahahahahaha!!!! Naona wamemchoka sasa

      Delete
  2. MSIMU UKIISHA TU, HANA CHAKE WATU HAWATAKI UTANI, OSMAN DEMBELE YALIMKUTA PALE BARCA SEASON YA 2018/19

    ReplyDelete
  3. Simba ndio chuo,si alisema yule mvuta bangi?Morrison,

    ReplyDelete
  4. Kwani kumtongoza "shemejii"ni kosa kubwa kivile kuliko aliyokuwa akiyafanza awali?

    ReplyDelete
  5. Kwani kumtongoza "shemejii"ni kosa kubwa kivile kuliko aliyokuwa akiyafanza awali?

    ReplyDelete
  6. La Mkude ni kubwa kiasi gani hata asimamishwe?, Mbona Morrison katukana hadharani kwa kutuonyesha kidole cha kati na maneno machafu Uongozi UMEKAA KIMYA???, GOD FATHER NDANI YA SIMBA ITATUGAWA SAAAAAAANA.MNALETA UPENDELEO HATA KWENYE MAMBO YA MSINGI???. VIONGOZI BADILIKENI, ACHENI USHABIKI KWA WACHEZAJI NA KUWAPENDELEA WALE TU MLIOWALETA NYINYI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hatukuelewi ulichoandika.Hivi umeelewa hiyo barua?

      Delete
  7. Amekuwa mchezaji muhimu lakni kwa sasa atajizufunza na kujiona wa kawaida.

    ReplyDelete
  8. Mtafungwa mapema tu na FC Platinum,

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic