Dakika ya 46 Wawa anaokoa hatari ndani ya 18
Uwanja wa Mkapa
Kipindi cha Kwanza
Simba 0-0 Plateau United
Mapumziko
Zinaongezwa dk 3
Dakika ya 45 Bocco anachezewa faulo ndani ya 18
Dakika 44 Wawa anapeleka mashambulizi mbele
Dakika ya 43 Plateau wanapata faulo
Dakika ya 40 Plateau United wanacheza faulo
Dakika ya 39 Luis anafanya jaribio linaokolewa na kipa inakuwa kona haizai matunda
Dakika ya 35 Manula anafanyiwa jaribio anaokoa
Dakika ya 34, Mkude anacheza faulo
Dakika ya 32 Chama anacheza faulo kwa nyota wa Plateau United, Issa
Dakika ya 30 Wasilu anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Tshabalala
Dakika ya 29 Wasilu anaunawa mpira na kusababisha faulo inapigwa na Tshabalala Tshabalala haizai matunda
Dakika ya 27 Mkude anasababisha kona
Dakika ya 24, Plateau United wanafanya jaribio la pili linaokolewa na Manula
Dakika ya 23 Manula anaokoa hatari
Dakika ya 22 Simba inapata kona inapigwa na Luis
Dakika ya 19 Plateau United wanaanzisha mashambulizi kwenda Simba
Dakika ya 17 Luis anachezewa faulo na Issa Ndala ambaye anakula sahani moja na Luis
Dakika ya 16 Bocco anaotea
Dakika 15 za kipindi cha Kwanza hakuna ambaye ameona lango, Plateau United wamekuwa na utulivu mkubwa Kwenye kujilinda huku Simba wakionekana kukosa utulivu katika kushambulia
Dakika ya 13 Bocco anamtengea pasi ya kisigino Mzamiru anaipaisha juu mazima
Dakika ya 12 Kapombe anamwaga maji mbele yanakutana na Luis anapiga nje ya lango
Dakika ya 11 Mzamiru anapeleka mashambulizi kwa Plateau United
Dakika ya 10 Tshabalala anapeleka mashambulizi Plateau United
Dakika ya 9 Mkude anafaya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 8 Kapombe anafanya jaribio linaokolewa
Dakika ya 6 Kapombe anamchezea faulo mchezaji wa Plateau United
Dakika ya 4 Mzamiru anachezewa faulo
Kesho zam ya mabingwa vs bwire
ReplyDeleteUsituchafulie biriani letu kwa kutuletea makande.Watu wanazungumzia habari za ligi ya mabingwa Africa we unatuletea habari za utopolo wako na Masau Bwire
DeleteSimba kama kweli wanataka kutimiza ndoto za kufika mbali klabu bingwa Africa au hata kanye ligi kuu basi waingie gharama ya lazima kutafuta sentafowadi wa ukweli,mpambanaji,aliekuwa fiti kiafya. Unajua waswahili hawakosei wanaposema karamu ya mbahili huliwa mara mbili.Simba wangejipiga vyema kunako Dirisha kubwa kusaini fowadi mwenye umri wa wastani kaliba ya justin shonga sasa wangekuwa wanapumua.Tunajua ni gharama lakini nadhani nadhani mwengine umakini unahitajika kwenye uasjili. Si msemi vibaya ila simba kwa kutegemea fowadi John Boko kwenye mechi za kimataifa siioni simba ikifika popote pale.
ReplyDeleteUtopolo huo
DeleteYanga wanafoard gani acha matapishi Mugalu Mzee?
DeleteKuna forward asiyeumia! Mpira ni mipango cha muhimu ni kuvka hatua inayofata
DeleteHe he he...mikia kulalama
ReplyDeleteNa utopolo wenye kazi ya kupokea hata mashamba boy mradi tu wamekuja kwa ndege! Akili za kichura kabisa
DeleteSalehe nimesikitika kidogo na mwendo huu. Mpira umeisha zaidi ya masaa manne yaani haukuona kama kulikuwepo na umuhimu kuongelea hii mechi mbali na live coverage? Kwenye blog ukionyesha dalili za hisia za upendeleo basi blog hii haitendelea. Hapa ni kama unaonyesha una hasira kwamba Simba wamesonga mbele au?
ReplyDeleteUtopolo wanigeria chali.
ReplyDeleteUtopolo wa washuhudia utopolo wenzao wakipigwa machion. i kwa mkapa midomo yote 🤫. Hakika Simba nikiboko Cha utopolo duniani.
ReplyDelete