LIGI Kuu Bara leo Desemba 23 inaendelea kuchanja mbuga mdogomdogo ambapo kwa sasa namna ni mzunguko wa 17.
Hizi hapa zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu namna hii:-
Ihefu iliyo nafasi ya 16 na pointi 13 itamenyana na Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 40 ngoma itapigwa Uwanja wa Sokoine.
JKT Tanzania iliyo nafasi ya 15 na pointi 14 itakutana na KMC, iliyo nafasi ya 9 na pointi 21 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 8 itamenyana na Dodoma Jiji, iliyo nafasi ya 12 na pointi 19. Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
Duhhh sio posa Yanga had Rahaa jamnn
ReplyDelete