IMEELEZWA kuwa Toaster Nsabata kipa wa Klabu ya Zanaco FC ameingia Kwenye rada za Simba.
Nyota huyo ana miaka 27 ana urefu wa cm 183 amecheza pia Klabu ya Nchanga Rangers msimu wa 2016.
Nyota huyo ana miaka 27 ana urefu wa cm 183 amecheza pia Klabu ya Nchanga Rangers msimu wa 2016.
Simba haina shida na kipa wewe.Makipa wawili waliopo ni wazur mbona.Najua mwandishi hii taarifa umepika
ReplyDeleteKweli kabisa
DeleteHata uandishi wenyewe ni wa kimagumashi......kimba ni neno linalomaanisha mavi lakini mhariri ameliacha lisomeke kama lilivyo.
ReplyDeleteAnatafuta Kiki.
ReplyDeleteHakuna sababu yoyote kwa sasa simba kuingia gharama ya kununua kipa. Waliopo wanatosha sana. Mwandishi kama umelipwa kumfanyia promo huyo jamaa, mpeleke huko kwa wengine, labda upande wa pili watampenda
ReplyDeleteMnashangaa mikia kumtafuta kipa badala ya beki hawana akili hao Simba hata kidogo
ReplyDeletetunawajua ndio maana zahera aliwaita nani vile
DeleteKimba..???
ReplyDeleteUtopolo utamjua tu, wamejaa matusi muda wote. Busara,hekima na maarifa sifuri
Delete