Saido na Fiston wote wamesajiliwa katika kipindi cha dirisha dogo, ambapo wanaungana na kocha wao raia wa Burundi Cedric Kaze ambaye mpaka sasa hajapoteza mchezo wowote akiiongoza Yanga kwenye michezo 13.
Akizungumzia pacha hiyo Pawasa
amesema: "Naona kabisa kutakuwa na pacha moja nzuri ndani ya kikosi cha
Yanga kutokana na ujio wa Fiston kwa kuwa tayari yupo Saido.
"Tayari kila mmoja ameuona uwezo
wa Saido tena ndani ya mechi chache tu, ambapo ameweza kufunga mabao na
kuasisti hivyo kama ataungana na Fiston nadhani pacha yao inaweza kuwatesa
wengi,"
Kwani mziki wa chikwende na Miquisone na huo wa babu na mjukuu wake upi hatari zaidi?
ReplyDeleteChikwende Chifika?.. cv yake bado ndogo
DeleteHata Sarpong CV yake ilikuwa kubwa
DeleteRejea; si Fiston na Chikwende + Miquisone uliowataja awali? Sasa Sarpong anaingizwaje humu? Upeo mdogo ndio maana una hamahama...mikia aka paka mweusi
DeleteUtopolo wanapenda kusifiwa uwezo wasiyokuwa nao
ReplyDeleteBado zamu ya chikwende kudifiwa
ReplyDeleteHUYU PAWASA NI CHURA TU
ReplyDelete