KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo zitachezwa mchezo wa Kwanza dhidi ya Zambia leo Januari 19, mchezo wa Chan, nchini Cameroon.
Kocha Mkuu, Ettiene Ndayiragije atakosa huduma ya mshambuliaji John Bocco ambaye ni majeruhi.
Bocco ambaye anakipiga ndani ya Simba alipata majeraha Kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya FC Platinum.
Mchezo huo ulichezwa Januari 6, Simba ilishinda mabao 4-0 na Bocco alitupia bao moja.
Pichani ni muonekano wa chumba cha kubadilishia nguo kwa tim ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo leo inaanza kazi ya kutafuta ushindi kwenye mchezo wa kwanza, Cameroon.
0 COMMENTS:
Post a Comment