Ligi Soka nchini Uingereza itaendelea tena leo usiku. Baada ya London Derby, tunakutana tena kwenye wiki ya 19 – Leicester City kuwakaribisha Chelsea pale King Power Stadium.
Leicester City anaingia kwenye mchezo huu akitoka kwenye ushindi dhidi ya Southampton. Chelsea nao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa wametoka kwenye ushindi mwembamba dhidi ya Fulham. Meridianbet tumempatia faida Chelsea kwenye mchezo huu kwa Odds ya 2.50
Pale Ujerumani kunako Bundesliga, Bayer Leverkusen atachuana na Borussia Dortmund katika muendelezo wa michezo ya ligi soka nchini humo. Bado ni mbio za kutafuta nafasi 4 za juu kwenye msimamo wa ligi hiyo. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.27 kwa Dortmund.
Udinese uso kwa uso na Atalanta jumatano hii. Mambo yanapamba moto kule Italia kwenye Serie A. Timu za Milan zinaendelea kushika nafasi ya 1 na 2, Atalanta sio haba naye yumo kwenye mchakato wa kuisaka Scudetto. Meridianbet tumekupatia Odds ya 1.90 kwa Atalanta kwenye mchezo huu.
Marseille atachuana na Lens katika muendelezo wa Ligue 1 Jumatano hii. Kila timu inahitaji matokeo katika kulisukuma gurudumu la ligi soka nchini humo na pengine kuvunja utawala wa PSG. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.05 kwa mwenyeji – Marseille.
Kwenye La Liga Jumatano hii ni Real Betis vs Celta Vigo. Nchini Hispania, mchezo wa soka unagubikwa na ufundi mwingi unaoendana na soka la kuvutia. Na kwetu Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 2.35 kwa Real Betis kwenye mchezo huu.
Alhamisi kutakuwa na mchezo kati ya Valencia vs Osasuna, matokeo chanya ndio kitu cha msingi kila timu hizi zinapokutana. Bado Atletico anaendelea kuongoza Ligi lakini ni nani atachomoka na pointi muhimu kwenye mchezo huu na kuendelea kumfukuzia Atletico? Meridianbet tumewathamini Valencia kwa Odds ya 2.15 kwenye mchezo huu.
Kwa Odds bora na bonasi kubwa kwenye michezo ya kubashiri, ni Meridianbet pekee utakapoweza kupata faida kubwa kwa kila dau utakalo weka. Ungana na Mabingwa wa Kubashiri sasa!
Weka mikeka ya kutosha
ReplyDeleteOdds kambambe sana kwa kupiga mkwanja
ReplyDeleteDah! Kalii Sana hz mech
ReplyDeleteHapo GG lazima
ReplyDeleteApo 2+
ReplyDeleteLeicester kidume
ReplyDelete