UHONDO wa Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili unatarajiwa kuanza kushika kasi Februari 13 huku vile viporo vikianza kutimua vumbi Februari 4.Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kwamba mbilinge za VPL mzunguko wa 19, zitarejea dimbani Februari 13, 2021, huku mechi za viporo zikianza kuchezwa Februari 4, 2021.
0 COMMENTS:
Post a Comment