Mambo yanazidi kunoga kwenye Ligi Soka Mbalimbali barani Ulaya. Mbio za Ubingwa na mchakamchaka wa kutoshuka daraja msimu ujao, ni fursa kwako mpenzi wa michezo ya kubashiri. Meridianbet tunakuhakikishia faida kubwa kwa kila dau utakaloliweka!
Ijumaa hii kutakuwa na mechi kali kwenye Bundesliga. Stuttgart vs Mainz sio mchezo wa kuuacha. Unakila sababu ya kuifata Stuttgart kwenye mchezo huu, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.82 kwa Stuttgart kama mwenyeji wa mchezo huu.
Kwenye Ligue 1 Ijumaa hii ni Lyon vs Bordeaux. Bado ni pata shika, nguo kuchanika kwenye mbio za kuwania ubingwa wa ligi hiyo. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.52 kwa mwenyeji wa mchezo huu – Lyon.
Bila shaka macho ya wapenzi wa soka yatakuwa pale Emirate Jumamosi hii! Arsenal vs Manchester United katika mchakamchaka wa EPL wikiendi hii.
Arteta anajitahidi kubadilisha mtokeo katika ungwe ya 2 ya msimu. Solskjaer anaendelea kupambana kuwania nafasi za ubingwa msimu huu.
Arsenal anaingia kwenye mchezo huu akitoka kwenye ushindi dhidi ya Southampton, United anaingia kwenye mchezo akiwa na machungu ya kufungwa na Sheffield United, timu inayoshika mkia kwenye msimamo wa EPL.
Meridianbet hatujakuacha nyuma, tumekuwekea Odds ya 2.50 kwa United wikiendi hii.
Kwenye Bundesliga Jumamosi hii ni RB Leipzig vs Bayer Leverkusen. Timu zote zinawania nafasi za kucheza mashindano ya Ulaya msimu ujao. Nani atakupatia faida wikiendi hii? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.00 kwa Leipzig kwenye mchezo huu.
Jumapili kutakuwa na michezo kadhaa ya kukata na shoka kwenye Serie A. Atalanta vs Lazio, hapa unakila sababu ya kumfata Atalanta kwani Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.85 ambayo ni uhakika, Atalanta anaweza kukupa faida wikiendi hii.
AS Roma atachuana na Verona katika mji mkuu wa Italia – Rome. Mbio za kuisaka Scudetto hazijawahi kuwa rahisi. Ila, maisha yanakuwa marahisi zaidi ukiwa na Meridianbet. Tumekuwekea Odds ya 1.75 kwa Roma kwenye mchezo huu.
Kule nchini Uturuki kutakuwa na mchezo kati ya Besiktas vs Trabzon. Huu ni mchezo unaoweza kukupa faida kubwa Jumapili hii. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.85 kwa mwenyeji -Besiktas, kazi kwako mpenzi wa michezo ya kubashiri.
Tutaianza wiki kwa mchezo wa LaLiga, Real Betis vs Osasuna siku ya Jumatatu. Huu ni mchezo unaoweza kukuanzishia wiki ukiwa na tabasamu la kibingwa! Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.00 kwa Betis kwenye mchezo huu.
Ligi imepamba moto
ReplyDeleteLigi ya kufa mtu
ReplyDeleteNgoja tuone
ReplyDeleteMambo yametaradad
ReplyDelete