BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa Yanga wanamnga'nga'nia mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison.
Nyota huyo ambaye alisaini dili la miaka miwili ndani ya Simba akitokea Klabu ya Yanga amekuwa kwenye mvutano na mabosi wake wa zamani hao kuhusu suala la mkataba wake.
Yanga wao wanaeleza kuwa nyota huyo ana mkataba wa miaka miwili ndani ya Yanga huku mchezaji mwenyewe akisema kuwa alisaini dili la miezi sita.
Sakata lake lilisikilizwa makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kwa muda wa siku tatu na mwisho wa siku waliamua kwamba mchezaji huyo ni huru kutokana na makosa ambayo yalikuwa kwenye mkataba wake.
Kutokana na matokeo hayo Yanga ilikata rufaa kwenye mahakama ya usuluhishi wa masuala ya michezo,(CAS) ili kuweza kupata haki ya mchezaji wao.
Barbara amesema:"Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi.
"Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi.
"Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado unamng’ang’ania wa nini? Halafu mwenzio anamaisha yake hakusubiri. Achananae."
Chanzo:Clouds
Amesema kweli
ReplyDeleteNa kwa muungwana, pindi mpenzi wako akitamka kukwambia sikutaki bila ya sababu yoyote, nawe umjibu ikiwa hunitaki mara moja nami sikutaki mara kumi na ukimngangania anaweza kukutilia vigae ndani ya chakula. Huyu mtu hatakeni huko alipo anahisi yupo peponi. Kuweni waungwana
ReplyDeleteUyo Barbara amepotoka na aelewi kinachoendelea dhidi ya Morrison, yanga awana aja na morrison kwamba arudi yanga, wao wanachokitaka ni haki yao ambayo ilipokonywa kwa kumsajili pasipo kufata utaratibu, sasa alitegemea MTU mmoja achafue brand ya yanga alafu wamuache tu? Isingewezekana laxima sheria, taratibu na kanuni zifatwe na sio vinginevyo
ReplyDeleteTuliwaita mezani wavunje mkataba wala hakung'ang'aniwa.. wao walitaka wampate bure/ kihuni.. sisi tunachotaka ni chetu tu sio zaidi.
DeleteUlimuita Nani mezani wewe unafikiri Morrison hana akili nyie,mtuite mezani kwa mkataba upi mliokuwa nao,subirini CAS wawape majibu yenu mbona mnaweweseka
DeleteWalioitwa mezani ni Mikia aka paka mweusi
Delete..mmeshaanza kulalama subiri yajayo ya CAS
DeletePendo kitu cha khiari. Vipi wanilazimisha nami nnaye nimpendae na tafuta mwengine usije adhirika
ReplyDeleteAkishanza kuota mapembe ndio mtajua huyo sio mtu, jasiri haachi Asili, ni suala la muda tu...
ReplyDeleteNyie kweli mikia hakiri haziwatoshi Huyo kahaba analinganusha mapenzi na kazi za zawatu yeye kama kazi yake ni kudanga afanye udangaji sio kufananisha yanga na ujinga wake kwani yanga hawana akili mpaka wanaenda kutafuta haki zao mbele kule kitaeleweka nani muongo
ReplyDeleteWe choko kweli Sasa si usubiri hiyo haki yenu mlikoenda kushtaki mnatupigia kelele,mmezoea kuongopewa na viongozi wenu feki,alafu kahaba ni mama yako mzazi aliyekuzaa tahira wewe
DeleteAnaongea kiushoga shoga huyu demu,sijuhi anableed?Na Simba wote wanableed siku hizi
ReplyDeleteKumbe mama yako alikuambia alikuwa hableed hivyo akakuzaa kupitia kinyeo chake cha mavi na matokeo yake akili yako imekuwa ya kimavi-mavi...Pumbafuu wewe nyani
DeleteMama yako bila ku bleed ungezaliwa wewe choko?Wewe unafikiri wanawake wanazaa kwa mkundu?
ReplyDeleteKikwete alishasema...wanapoteza hela na muda
ReplyDeleteHatuwezi kuacha mambo ya kizamani yaendelee...sheria na taratibu ziheshimiwe.
DeleteNahisi matopolo siku hizi wamepwaya sana. Morrisson anawaumiza sana hasa kwa yale yote aliyoyafanya siku ya pambano na Al Ahli walipo lala kwa 4G timu ambayo jana ikawafunga Mabingwa wa Africa Mazembe kwa mbili moja
ReplyDeleteMatusi yote hayo ya nini hata hamumuogopi MUNGU ndugu zangu barbra alitoa maoni yake cha kufanya ni kusubiri majibu ya cas daima mbele nyuma mbele mwiko!!
ReplyDelete