January 4, 2021

9 COMMENTS:

  1. Aende tuu ila azingatie kama amemaliza mkataba wake simba. Yanga nini ondoka hata leo ila narudia asome mkataba wake kama umekwisha vinginevyo asubiri kuuzwa au hata hao yanga wamnunue, ndio sheria za mpira. Sio kuondoka tuu kisa umeharibu.

    ReplyDelete
  2. Waandishi wameanza uongo

    ReplyDelete
  3. Mwandishi wa gazeti hili atakuwa ni chauongo saleh jembe

    ReplyDelete
  4. Yanga akachukue nafasi ya nani? Endeleeni kubaki na walevi wenu hukohuko Simba na mtuambie huyo mwandishi wenu uchwara mmempa shilingi ngapi ili aanze kuandika hiyo habari.

    ReplyDelete
  5. Ganda la muwa la jana, chungu kaona uhondo. Huko mpeni uhuru autakao na msimnyime kama alivokuwa kwa Simba na atakufaeni sana

    ReplyDelete
  6. Yanga hawajakoma tu kwa Ajibu? Mkude hakuna timu anayoijua katika maisha yake ya soka isipokuwa simba. Simba ni mkude na mkude ni simba ni nyumbani pale.Hata huo utomvu wa nidhamu wa mkude kwa simba ni kwa sababu mkude akiwa simba haoni kama yupo kazini bali anaona yupo nyumbani. Lakini labda akienda yanga au azam atajihisi kama yupo kazini ila Yanga kumsaini mkude ni sawa na kumshirikisha askari wa adui kwenye mbinu zenu za kivita.

    ReplyDelete
  7. Hayo ndio magazeti yenu ya kila siku

    ReplyDelete
  8. Nani anataka kiungo anayeangalia chini muda wote na vipasi vyake vya square badala ya kupiga pasi ndefu na "penetration pass" kwanza hata kukaba hajui mpaka asaidiwe na akina Muzamiru na Fraga. Abaki huko huko Simba apambanie namba na Lwanga na Ndemla.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic