January 29, 2021

 


VIPORO vya Ligi Kuu Bara  kwa mujibu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakuwa namna hii:-

Dodoma Jiji v Simba, Februari 4, Uwanja wa Jamhuri.

KMC v Namungo,  Uwanja Uhuru, Februari 4.

Namungo FC v Ruvu Shooting  Februari 7, Uwanja wa Majaliwa.

Simba v Azam FC, Uwanja wa Mkapa, Februari 7

Viporo hivi vilitokana na Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kuwa na mechi za kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na imetinga hatua ya makundi.

Namungo FC ilikuwa inashiriki Kombe la Shirikisho Afrika na imetinga hatua ya 32 bora.

4 COMMENTS:

  1. Mbona haijakamilika...au kuna kiporo cha ratiba ya viporo!!! Sioni Simba Vs Namungo! Pia Namungo wana viporo vingi!

    ReplyDelete
  2. Hawako makini au mwandisha hajielewi

    ReplyDelete
  3. Jamani siyo kwamba wamesahau kumbukeni kuwa Klub bingwa Kama sikosei inaendea Simba wakimaliza mechi Yao na Azam wanaondoka kwenda kucheza na as Vita Kongo wakirudi ndiyo watakutana na namungo fc

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic