February 4, 2021

 

Aviator – Faida Kubwa Iliyohalisi

Michezo ya kasino inaboreshwa kila siku. Hatuzungumzii sloti ambayo inaubunifu mkubwa kila muda. Michezo inabadilika kwa ujumla wake, matokeo yake ni muonekana murua ambao hautousahau kwa siku za karibuni. Aviator ni miongoni mwa michezo hiyo ambayo ilianzia kwenye michezo ya video mpaka kufika kwenye kasino.

 

Umetengenezwa na Spribe, ni mchezo mpya wa kijamii unaoweza kukupa faida kubwa. Kwa nini umeitwa Aviator? Ni kwa sababu utakuwa unaikimbiza ndege yenye malipo ya ziada ambayo inaweza kuanguka muda wowote. Ifikie ndege kabla haijapaa na utakuwa umejiweka kwenye nafasi ya kupata zawadi kubwa.

 

Unapatikana kwenye Kasino ya Meridianbet, Aviator ni mchezo wenye faida kubwa ambayo utaifurahia.

 

Jinsi ya Kucheza

Aviator ni mchezo ambao hauwezi kufananishwa na michezo mingine kirahisi. Inamuonekano wa kasino na sloti, lakini bado ni tofauti. Spribe wanauita ni mchezo wa kijamii lakini ni zaidi ya hivyo. Lengo lako ni kufuata ndege inayoonekana – kadiri inavyozidi kupanda juu, malipo pia yanaongezeka. Japokuwa, tatizo ni kwamba huwezi kujua muda inapaa. Unatakiwa kuwa mwepesi kwenye akili na mikono yako na ubofye kitufe kwa muda sahihi ili upate zaidi.

 

Ipo hivi:

  • Unafungua mchezo na kuweka ubashiri;
  • Subiri kwa sekunde kadhaa mchezo kuanza;
  • Jiweke tayari kuanza!
  • Ndege itaanza kupaa – itakapofikia kikomo, itakwenda juu tena kabla ya kupotea;
  • Lengo lako ni kupata malipo kwa muda sahihi, japokuwa hiyo ni rahisi kuisema kuliko kutenda;

Unatakiwa kuwa mwepesi sana. Lakini pia sio muda wote ndege itapotea kwenye malipo ya juu – inaweza kutokea muda wowote. Hii inamaanisha, unaweza kutegemea matokeo yeyote na pia teknolojia ya mchezo huu imetengenezwa katika kutoa matokeo yenye usawa.

Katika upande wa kiufundi, Aviator inarudisha faida ya 97% kwa mchezaji. Usiitumie vibaya nafasi hii. Kama ilivyo kwenye sloti, kila mzunguko unastori yake. Unaweza kuifikia ndege ikiwa juu au ukaikosa mwanzoni kabisa.

Tumia vizuri vidole vyako na hakikisha unauelewa mchezo kabla ya kuanza kufurahia kwa kulipia. Habari njema ni kuwa, mchezo huu unapatikana kwa majaribu kupitia Kasino ya Meridianbet pekee.

 

Inapatikana Kwenye Kasino ya Meridianbet Pekee.

Kwa sasa, sehemu pekee unayoweza kucheza Aviator ni Kasino ya Meridianbet. Inapatikana katika mfumo wa majaribio au kwa kulipia. Mfumo wa majaribio ni njia nzuri ya kujaribu mchezo na kuona namna unavyofanya kazi kabla hujaweka pesa. Unapokuwa tayari, unaweza kuhamia kwenye mfumo wa pesa halisi na kuanza kuikimbilia ndege ili kuzidisha malipo yako zaidi.

 

Sikuzote, Kasino ya Meridianbet imekuwa sehemu nzuri kwa michezo ya pesa halisi. Inamuonekano wa sloti bora kutoka iGaming ikiwemo sloti kutoka Playtech na Expanse kati ya zingine nyingi. Hauhitaji akaunti ili ujaribu kucheza mchezo huu – hii ni zawadi ya Meridianbet kwako.

 

Aviator ndio mchezo mpya kwenye ulimwengu wa kasino. Kama upo tayari kumkimbiza baron mwekundu na kuifikia ndege kwa kubofya, jisajili kwenye kasino sasa na ufurahie mchezo mpya kutoka Spribe!

 

4 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic