LEO Februari 7, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 10:00 jioni unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Azam FC.
Mchezo huo umeshika hisia za wadau kutokana na ushindani uliopo ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo awali ulipangwa kuchezwa majira ya saa 1:00 usiku ila sasa utachezwa majira ya saa 10:00 jioni.
Hiki hapa kikosi cha Azam FC ambacho kinatarajiwa kuanza leo mbele ya Simba, kwa mujibu wa gazeti la michezo la Spoti Xtra, Jumapili:-
Kwa Azam FC ni:-Mathias Kigonya.
Nicolas Wadada
Agrey Morrisi
Sebo
Bruce Kangwa
Nivere Tigere
Mudhathir Yahya
Naldo
Obrey Chirwa
Prince Dube
Ayoub Lyanga
Tafadhali pia tunakitaka cha Mnyama
ReplyDeleteCha Mnyama ni
DeleteManula
Kapombe
Tshabalala
Onyango
Wawa
Lwanga
Morison
Bwalya
Kagere
Chama
Miquison
Mwandishi endelea kutupaka mafta kwenye mgongo ila iposiku atakuja mwandish mzur tutakukimbia endelea kutuwekea vkosi vya kutunga
ReplyDeleteWadau mcjali hata ulaya inafanyika hii
ReplyDeleteMbona wako 10 tuu
ReplyDelete