February 2, 2021

 



KLABU ya soka ya yanga leo imezindua tukio kubwa la ‘Mwananchi Media Day’ ambalo linalenga kuwapa fursa wanahabari kukutana ana kwa ana na wachezaji, viongozi na benchi la ufundi la Yanga kufahamu masuala mbalimbali yanayoihusu Yanga.

Tukio hilo linafanyika ndani ya viunga vya Avic Town ilipo kambi ya klabu ya Yanga Kigamboni Jijini Dar es Salaam, Haya hapa matukio katika picha ya kile kinachoendelea huko Avic Town.


Pichani; Kutoka kushoto Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa, Mwenyekiti wa Yanga Dk. Mshindo Msolla na Mshauri wa uendeshaji wa klabu ya Yanga Sc, Senzo Mbatha.


Pichani; Kocha wa Yanga Princess, Edna Lema akizungumza na waandishi wa habari.


Pichani; Mshauri wa uendeshaji wa klabu ya Yanga Sc, Senzo Mbatha akisistiza jambo.


Pichani; Baadhi ya mashabiki wa klabu ya Yanga wakipata picha ya ukumbusho.



10 COMMENTS:

  1. Replies
    1. Kamulia ndimu nyunyiza na chumvi ichangamke.Umeambiwa ni tukio la wanahabari kukutana na wachezaji,viongozi na benchi la ufundi sasa ulitaka kuwepo na vigodoro na mavuvuzela???kwani umeambiwa ni mkutano wa hadhara

      Delete
    2. Asilimia kubwa ya Nyau FC akili zao ziko mikiani

      Delete
  2. Acha lugha zenye ukakasi. Kama ni tukio la wanahabari wamelileta la nini humu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habari zimeletwa ilikutoa taarifa ya tukio na sio kuchangamsha kijiwe kama huyo Kimburu mwenzio alivyotaka iwe.Habari imetolewa na wanahabari kama taarifa kwa umma.Kuna tukio linalohusisha wanahabari lisitoke kwenye media??

      Delete
  3. Hivi hii kitu manufaa yake ni yapi hasa kwa club? Kwa anaefahamu vizur

    ReplyDelete
  4. Hii kitu haina mantiki, huu ndio ukweli japo watu watasema tunakosoa kila kitu. Basi tuelezeni imeleta impact gani hasa

    ReplyDelete
  5. Hawa jamaa wanekosa chakuiga wanafurukuta vitu vimegoma. Utopolo Bora mwanzishe michezo ya ngoma tu mpira unewashinda

    ReplyDelete
  6. dah simba inaonekana mnataka kuolewa na yanga mnawafollow kila jambo wanaiga mbona c azam tumetulia tu achen hzo ndoa haitafutw hvyo wananchi simba so mwanamke wakuweka ndan n malaya tu subilin jumapil 2mvue nguo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naona bi mkubwa anajifanya bi mdogo, dume SIMBA limekushtukia. Subiri hiyo siku ifike uone moto

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic