ANAANDIKA Saleh Jembe
Maisha ni msaada na zawadi kubwa kutoka kwa Mungu.
LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA...
Nipo ndani ya wale wanaostahili kupokea zawadi kutoka kwa Allah, namshukuru sana kwa maisha na muongozo.
Nawashukuru familia yangu ambao wako karibu nami, rafiki zangu na wafanyakazi wenzangu.
Nawashukuru wadau wa soka ambao wamekuwa familia yangu pia, tunaishi pamoja kwa ukaribu, iwe ana kwa ana au kwingineko lakini mwisho ni maisha ambayo ni zawadi tuliyopewa bila kuambiwa mwisho wake lini.
Wakati nimeongeza mwaka na kushukuru, NAMSHAURI KILA MMOJA kuwa itumie VIZURI NA KWA FAIDA zawadi yako ya kuishi kwa kuwa haujui ITAISHA LINI.
Birthday is a special day to thank Allah for the beautiful gift of peaceful life which He has given to us. Happy birthday and wish you a lengthy, healthy life and future prosperity.
ReplyDeleteاللهم أمين
ا