February 25, 2021

 


KIKOSI cha klabu ya Namungo leo kimefanikiwa kutinga katika hatua ya Makundi ya kombe la Shirikisho Afrika, licha ya kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Clube Desportivo 1º de Agosto ya Angola.

Namungo wamefanikiwa kutinga hatua hiyo kwa matokeo ya jumla ya ushindi wa mabao 7-5, kufuatia ushindi wa mabao 6-2 walioupata Namungo katika mchezo wa kwanza uliopigwa Februari 21, mwaka huu.

Namungo sasa inajiunga na timu za Raja Club Athletic ya Morocco, Pyramid FC ya Misri na Nkana FC ya Zambia kukamilisha timu nne za kundi D la michuano hiyo.

 

21 COMMENTS:

  1. Acha Usimba wewe Timu mnaisusa inapambana kimyakimya bila mbwembwe leo eti kinyonge ??????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usimba uko Wap sasa hapo au chuki dhidi ya Simba zimekuzidi

      Delete
    2. Naunga mkono,,,kwa hatua iliyofikia inatosha sana,,,ina misimu 2 tu kwenye ligi toka ipande,,,ulizeni yanga azam,,,hazjawahi ingia makundi ni mapema tu nje,,,tusibeze walipofikia namungo wengine hawajawahi fika na niwakongwe vpl,,,walikuwa wanatolewa na vitimu hivohivo mnavyosema vibovu,,,hongera namungo

      Delete
    3. Naunga mkono,,,kwa hatua iliyofikia inatosha sana,,,ina misimu 2 tu kwenye ligi toka ipande,,,ulizeni yanga azam,,,hazjawahi ingia makundi ni mapema tu nje,,,tusibeze walipofikia namungo wengine hawajawahi fika na niwakongwe vpl,,,walikuwa wanatolewa na vitimu hivohivo mnavyosema vibovu,,,hongera namungo

      Delete
    4. Naunga mkono,,,kwa hatua iliyofikia inatosha sana,,,ina misimu 2 tu kwenye ligi toka ipande,,,ulizeni yanga azam,,,hazjawahi ingia makundi ni mapema tu nje,,,tusibeze walipofikia namungo wengine hawajawahi fika na niwakongwe vpl,,,walikuwa wanatolewa na vitimu hivohivo mnavyosema vibovu,,,hongera namungo

      Delete
    5. Naunga mkono,,,kwa hatua iliyofikia inatosha sana,,,ina misimu 2 tu kwenye ligi toka ipande,,,ulizeni yanga azam,,,hazjawahi ingia makundi ni mapema tu nje,,,tusibeze walipofikia namungo wengine hawajawahi fika na niwakongwe vpl,,,walikuwa wanatolewa na vitimu hivohivo mnavyosema vibovu,,,hongera namungo

      Delete
    6. Sheby kilaza.. nani kakwambia Yanga haijawahi kuingia makundi?

      Delete
    7. We sheby uwe na adabu,Yanga ndio timu ya kwanza TZ na Africa kuingia makundi toka yalipoanzishwa hayo mashindano 1998.Heshima itawale mkia wee

      Delete
    8. Shelby, Tatizo mpira umeanza kushangilia Leo.

      Delete
    9. 🤣🤣🤣🤣 daaa punguzeni jaziba

      Delete
  2. KUNA JAMBO HALIPO SAWA NDANI YA NAMUNGO. SWALI LINAKUJA WATAWEZA KUZITUMIA VYEMA HIZO MILIONI 650 ZA CAF KUFUZU HATUA YA KWENDA ROBO FAINALI? NAMUNGO KAFUNGWA HAPA HAPA 3 KWA MOJA. VIPI KAMA ANGEANZIA ANGOLA? HAPA KUNA JAMBO KUNA JAMBO LIPO WAZI VIONGOZI NAMUNGO HAWAKO SERIOUS. TIMU WANAZOCHEZA NAZO HAZINA HURUMA....WKATI UKIFIKA TUTAAMINI

    ReplyDelete
  3. Rogatus Simba inaingiaje hapa?Walioisusa ni kina nani?
    Au ni mwendelezo wa tabia za kulalama tu bila kuwa na hoja za msingi.
    Aliyeandika anajulikana ni mpenzi wa timu ipi.Fuatilia makala zake.

    ReplyDelete
  4. NAMUNGO HAWANA KOCHA NDIO TATIZO

    ReplyDelete
  5. Red devils NKANA, hapo ndio mwisho wa NAMUNGO

    ReplyDelete
  6. Natamani nafasi yao wangepewa Yanga!

    ReplyDelete
  7. sometime inatakiwa kufikili kwanza kabla ya kuongea

    ReplyDelete
  8. Tuwe wa kweli Namungo haipewi priority hata Jana au juzi kwenye media kwao siyo big deal ni kama wanachofanya hakiendani na midomo yetu hapa kila kitu simba bt Hawa jamaa pamoja na advantage ya Corona wanastahili kutangazwa Kama siyo kupongezwa kwa performance yao . Unaweza shangaa wanafika nusu finali sisi bado tunashangilia goli la Loius tu,Swali langu je haijaongeza pointi kwa kuingia Hii stage?.Na hapo tuamini mpira si maneno ya Haji ni kuucheza tu.

    ReplyDelete
  9. Na mkitaka kujua mpira siyo maneno ,Taifa Stars angalia Ile Kamati ya Uhamasishaji wameitwa wale wote ma nguli wa Mdomo na Serikali ikaongezeka bt angalia kichapo walichopata.

    ReplyDelete
  10. Ila we Sheby nadhani Hilo jina si lako inawezekana bado unanyonya maziwa ya Mama au umeandika huku umejiongeza,kwa mawazo hayo hukosi kusema Rais wa kwanza Tanzania ni Magufuli.We unajua makundi yapi ambayo Yanga haijawashwa Kaingia

    ReplyDelete
  11. Tupeni matokeo ya Yanga walipoingia makundi 1998.Walimaliza wangapi?
    Kwenye kundi lao walishinda mechi ngapi?Walipata pointi ngapi?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic