LEO Jumapili, Februari 7 ndani ya ardhi ya Bongo Ligi Kuu Bara ratiba yake ipo namna hii:-
Simba v Azam FC, Uwanja wa Mkapa.
Namungo v Ruvu Shooting, Uwanja wa Majaliwa.
Kwa Bongo zote zitapigwa saa 10:00 jioni.
Hapa ni Ligi Kuu England
Spurs v West Brom saa 9:00 alasiri
Wolves v Leicester, saa 11:00 jioni
Liverpool v Manchester City, saa 1:00 usiku.
Sheffield United v Chelsea, saa 4:15, usiku.
Chimbo la Serie A
Benevento v Sampdoria, saa 8:30 mchana
AC Milan v Crotone, saa 11:00 jioni.
Udinese v Verona, saa 11:00 jioni.
Parma v Bologna, saa 2:00 usiku.
Lazio v Cagliari, saa 4:45, usiku.
0 COMMENTS:
Post a Comment