MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Simba wana ratiba ngumu ya kucheza michezo sita mikubwa ndani ya mwezi huu wa Februari katika michuano ya ligi na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ratiba hiyo ni kama ifuatavyo;.
kwanini mechi ya simba na yanga ihairishwe .simba ingelikuwa inacheza ugenini na al Ahly ingehairishwa lakini wanacheza dar .mbona yanga kipindi kile mechi zake za kimataifa zilikuwa haihairishwi mechi zake za ligi na huku walikuwa wakicheza mechi zake za kimataifa katika hatua ya group.
MECHI HIZI HAPA NI KAMA MAZOEZI TU WALA SIO NGUMU, DODOMA MJI, RUVU SHOOTING, AZAM FC HAPA HESABU KUWA TAYARI POINT 9 ZIMECHUKULIWA BADO KUTHIBITISHWA TU
Kweli, Ila ratiba nzito kama hizo ni za wakubwa kama SIMBA wengine ratiba zao nyepesi
ReplyDeleteKama watacheza na al Ahly ya yanga lazma wahairishe
ReplyDeletenext level
ReplyDeletekwanini mechi ya simba na yanga ihairishwe .simba ingelikuwa inacheza ugenini na al Ahly ingehairishwa lakini wanacheza dar .mbona yanga kipindi kile mechi zake za kimataifa zilikuwa haihairishwi mechi zake za ligi na huku walikuwa wakicheza mechi zake za kimataifa katika hatua ya group.
ReplyDeleteMECHI HIZI HAPA NI KAMA MAZOEZI TU WALA SIO NGUMU, DODOMA MJI, RUVU SHOOTING, AZAM FC HAPA HESABU KUWA TAYARI POINT 9 ZIMECHUKULIWA BADO KUTHIBITISHWA TU
ReplyDelete