February 8, 2021


WAKALI wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21:- Medie Kagere anacheza Simba ana jumla ya mabao.

John Bocco, wa Simba ana mabao 8 kibindoni.

Adam Adam, wa JKT Tanzania ametupia jumla 7
Prince Dube, mshambuliaji wa Azam FC ametupia jumla mabao 6.

Clatous Chama, nyota wa Simba ametupia mabao 6.

Meshack Abraham yupo zake ndani ya Gwambina FC ametupia mabao 6.

Seif Abdallah yupo zake ndani ya Ddodoma Jiji, mabao 5.

Ayoub Lyanga wa Azam FC amekusanya mabao 5.

Fully Maganga yupo zake ndani ya Ruvu Shooting ametupia mabao 5.

Chris Mugalu nyota wa Simba ametupia mabao 4.

Reliantis Lusajo, yupo zake Namungo ila alitupia mabao hayo akiwa ndani ya KMC.

 Yusuph Muhilu anaitumikia ndani ya kikosi cha Kagera Sugar ametupia mabao manne.

Deus Kaseke yupo zake Yanga ametupia mabao 4.

Yacouba Sogne yupo zake Yanga ametupia mabao 4.

Obrey Chirwa ni mali ya Azam FC ametupia mabao 4.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic