KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Machi 7 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Metacha Mnata kipa namba moja baada ya kukosekana kwenye mechi mbili mfululizo leo amerejea tena kwenye milingoti mitatu, Nchimbi naye ndani.
Vipi waandishi hamna stori yoyote ya Mudadhir Abdallah?
ReplyDeleteHata mi nashangaa hakuna habari ya kiboko ya Shikalo
DeleteSoma waliyokuandikia, ukiitaka nyingine andika wewe
ReplyDeleteUtopolo
DeleteHahahaaaa hahahahaha hahahahaha daaa
ReplyDelete