FT: Simba 3-0 Al Merrikh
Simba inasepa na pointi tatu, Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi leo Machi 16.
Uwanja wa Mkapa
Dakika 90 Al Merrikh wanapeleka mashambulizi Simba
Dakika ya 87 Chama anakosa nafasi kwa kumpiga chenga kipa ndani ya 18
Dakika ya 82 Luis anatoka anaingia Kahata
Dakika ya 81 Manula anaokoa inakuwa kona
Dakika ya 71, Mugalu anatoka anaingia Kagere, anatoka Morrison anaingia Jonas Mkude
Dakika ya 67 Manula anaokoa hatari
Dakika ya 64 Lwanga anachezewa faulo na Wagd anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 59, Morrison anakosa nafasi ndani ya 18
Dakika ya 49 Mugalu GooooolDakika ya 46 Zimbwe anapeleka mashambulizi Al Merrikh
Mzamiru anatoka anaingia Bwalya kwa Simba, Ahmed Yosuph anachukua nafasi ya Mohamed kwa Al Merrikh
Kipindi cha pili
LIGI ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi
Mapumziko
Simba 2-0 Al Merrikh
Zimeongezwa dakika 3
Dakika ya 45 anaingia Nyoni
Dakika ya 43 Onyango anapewa huduma ya kwanza na anaomba kutolewa, alipigwa mpira kichwani
Dakika ya 41 Onyango anaokoa hatari mikononi mwa Manula
Dakika ya 38 Gooooooal Tshabalala
Dakika ya 36 Lwanga anaanua majalo
Dakika ya 33 kipa wa Al Merrikh anapewa huduma ya Kwanza
Dakika ya 30 Mugalu anakosa nafasi ya wazi kwa pasi ya Morrison
Dakika ya 29 Mongbe kipa wa Al Merrikh anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 26 Morrison anaokoa hatari
Dakika ya 22 Onyango anapewa huduma ya Kwanza
Dakika ya 17 Luis Miqussone goal
Dakika ya 16 Mugalu anapiga shuti linaokolewa.
Ndani ya dakika 15 timu zote mbili hakuna hata moja ambayo imepiga shuti ambalo limelenga lango.
Simba wanatengeneza nafasi ila watashindwa kutumia
Dakika ya 15 Mzamiru anachezewa faulo
Dakika ya 8 Monged anapewa huduma ya Kwanza ni kipa wa Al Merrikh
Dakika ya 7 Mzamiru anapeleka mashambulizi Al Merrikh
Dakika ya 4 Mugalu anachezewa faulo
Dakika ya 3 Onyango anaanua majalo
Dakika ya Kwanza Morrison anatengeneza nafasi mabeki wa Al Merrikh wanaanua
Simba 0-0 Al Merrikh
Kipindi cha kwanza
Machi 16, Simba v Al Merrikh
Mchezo wa marudio, ule wa kwanza Uwanja wa Al Hilal ngoma ilikuwa 0-0
vipi kesi ya Morrison imefika wapi.?.so far keshatengeneza/assist mabao mawili
ReplyDeletehttps://salehjembe.blogspot.com/2021/03/al-merrick-walia-kuhujumiwa-wachezaji.html?m=1
ReplyDeletembona baadhi ya wachezaji waliohujumiwa wanacheza ...Bakhit? na kama hata kwao Sudan wachezaji watano walikutwa na korona..kama watano walikutwa kwao basi nane wanawezwa kutwa hapa
DeleteWamehujumiwa na nani?
ReplyDeleteSaleh jembe acha unafiki...hizi sio habari za kuchapisha kama wewe ni mzalendo
ReplyDeletekama wamehujumiwa na korona.bahati yao mbaya
Vp utopoloo leo amepita paka mweusi
ReplyDeleteHahaa Kaze baada ya kutimuliwa, hapo juzi aliielezea Simba kuwa ni timu nyepesi Ama kweli ulimi haina mfupa
ReplyDeleteachana na utopolo saizi yao ni Kengold
ReplyDeleteViongozi wa Simba wajitahidi kuomba CAF waruhusiwe kuingiza mashabiki hata elfu 3 kwenye mechi ya Vita
ReplyDeletekwani Simba ilipocheza na AS Vita au ilipocheza na Plateau ya Nigeria kulikuea na mashabiki?
DeleteHaya Gongowazi tunangojea shutuma kama milivo tena kwa kusema Mnyama kapendelewa au kanunuwa ushindi
ReplyDeletehttps://news-af.feednews.com/news/detail/1808147be0e112670a8476c882f96d48?client=news
ReplyDelete