March 6, 2021

 

Wikiendi ya kwanza ya mwezi wa tatu kuanza kwa burudani ya kibingwa kwenye soka la Ulaya. La Liga, Bundesliga na EPL kukupatia nafasi ya kuibuka kidedea wikiendi hii.

 

Ijumaa hii kwenye La Liga Sentander ni Valencia vs Villareal. Katika dimba la Estadio Mestalla, dakika 90 zitaamua nani atakutoa kimasomaso. Kupitia Meridianbet, tumekuweka Odds ya 2.25 kwa Valencia kwenye mchezo huu.

 

Jumamosi tunapaa mpaka nchini Ujerumani. Kule kuna mtanange wa kukata na shoka!! Bayern Munich kuwavaa Borussia Dortmund. Huu ni mchezo ambao unazikutanisha timu 2 zenye ubabe kwenye Bundesliga. 

 

 Huku Erling Haaland, kule Robert Lewandowski!! Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.75 kwa Bayern kwenye mchezo huu.

 

Jumapili hii tunaendelea tulipoishia kwenye EPL. Baada ya United vs Chelsea, Liverpool vs Chelsea, sasa ni zamu ya jiji la Manchester!!

 

Kunako uwanja wa Etihad kutafuka moshi katika Manchester Derby!! Vinara wa EPL Manchester City kuwakaribisha majirani zao Manchester United ambao pia wanashika nafasi ya 2 kwenye msimamo wa EPL.

Huu ni msimu ambao timu za Manchester zilianza kwa kusuasua kwenye nafasi ya 13 na 14 lakini sasa hivi zinashika nafasi ya 1 na 2 kwenye EPL. Wengi wanatabiri kombe la EPL msimu huu litasalia jijini Manchester. Dakika 90 kuamua nani mbabe wa mwenzake msimu huu? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.65 kwa City kwenye mchezo huu

 

Kwenye Serie A siku ya Jumatatu ni Inter Milan vs Atalanta. Huku napo habari ya mjini ni mbio za kulisaka taji la Scudetto msimu huu. Kupitia Meridianbet, Inter amedhaminiwa kwa Odds ya 2.15 kwenye mchezo huu.

 

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

4 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic