March 3, 2021

 


KIKOSI cha klabu ya Simba kimeanza safari ya kuelekea nchini Sudan, kwa ajili ya kuwavaa wapinzani wao Al Merrikh katika mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba inatarajiwa kuondoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jioni ya saa kumi kupitia nchini Ethiopia.

Simba inayoongoza kundi A, la michuano hiyo na pointi zao sita itacheza dhidi ya Al Merrikh siku ya Jumamosi, Mchezo inaotarajiwa kupigwa majira ya saa kumi za jioni.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic