AZAM FC YAIVUTIA KASI DODOMA JIJI KIKOSI cha Azam FC ambacho kipo namba mbili Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara na pointi 50 kimeanza mazoezi kuivutia kasi Dodoma Jiji, Alhamisi ijayo.
0 COMMENTS:
Post a Comment