EXCLUSIVE: VIDEO: YANGA WALIKUWA WA KWANZA KUITAKA SAINI YA PAWASA, KILICHOWASHINDA HIKI HAPA
BONIPHACE Pawasa nyota wa zamani wa kikosi cha Simba amesema kuwa timu ya kwanza ardhi ya Bongo ambayo ilikuwa inahitaji huduma yake ilikuwa ni Yanga kabla ya Simba kumfuata baadaye, ameweka wazi kwamba kilichowashinda watani hao wa jadi wa Simba ni kutimiza ahadi jambo ambalo lilimfanya aibuke Simba kwa kuwa Yanga walimuambia kwamba wanakwenda kujipanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment