Promosheni ya Cash Parade
Kupitia Meridianbet, tumekuletea promosheni mpya inayoitwa Cash Parade. Hii ni promosheni itakayoendeshwa kwa njia ya shindano. Shindano la Cash Parade litaanza Aprili 16, 2021 saa 6:01 usiku na litaisha April 25, 2021 saa 5:59 usiku. Jumla ya michezo 15 ya Playson inapatikana kwenye shindano hili. Michezo inayohusika kwenye shindano hili ni 3 Fruits Win: Double Hit, Book of Gold: Double Chance, Book of Gold: Multichance, Buffalo Power: Hold and Win, Burning Wins: classic 5 lines, Diamond Wins: Hold and Win, Divine Dragon: Hold and Win, Hot Coins: Hold and Win, Legend of Cleopatra Megaways™, Pearl Beauty: Hold and Win, Solar Queen, Solar Temple, Stars & Fruits: Double Hit, Super Sunny Fruits: Hold and Win na Wolf Power: Hold and Win.
Namna ya Kushiriki Shindano la Cash Parade
Shindano la Cash Parade linachezwa kwa pesa hali pekee. Mizunguko inayochezwa kwa ubashiri wa kima cha chini cha shilingi 2,778 au zaidi, ndiyo itakayohesabika kwenye shindano hili. Nafasi za wachezaji kwenye shindano hili, itategemea idadi ya pointi zitakazo kusanywa kwa kuzingatia sheria ya: ushindi ukigawanya kwa dau na kuzidisha mara 100. Mfano: mteja ameweka ubashiri wa shilingi 2,778 na akashinda shilingi 27,780, atapata pointi 100. Hii ni kulingana na mahesabu ya: 10/1*10=100. Mshindi ni mchezaji aliyepata pointi nyingi zaidi na nafasi zinazofuatia, zinapangwa kwa kigezo hicho hicho.
Mchezaji anaweza kuangalia nafasi aliyopo, sheria za promosheni sambamba na kuingia kwenye kapu la shindano kwa kubofya kitufe cha orodha [ranking thumbnail] kwenye kona upande wa kulia wa skini ya michezo inayopatikana kwenye promosheni.
Zawadi Zinazopatikana kwenye Shindano la Cash Parade
Jumla ya kapu la zawadi ni pesa taslimu kiasi cha shilingi 166,687,632. Kiasi hiki kinagawanywa katika mpangilio ufuatao:
- Mshindi wa 1 – 27,781,272 Tshs
- Mshindi wa 2 – 13,892,482
- Mshindi wa 3 - 8,336,650
- Mshindi wa 4 - 4,168,325
- Mshindi wa 5 - 2,778,953
- Mshindi wa 6 - 2,501,058
- Mshindi wa 7 - 2,223,162
- Mshindi wa 8 - 1,945,267
- Mshindi wa 9 - 1,667,372
- Mshindi wa 10 - 1,389,135
- Nafasi ya 11 mpaka 25 - 1,111,458 kila mmoja
- Nafasi ya 26 mpaka 50 - 555,729 kila mmoja
- Nafasi ya 51 mpaka 100 - 416,676 kila mmoja
- Nafasi ya 101 mpaka 200 - 277,762 kila mmoja
- Nafasi ya 201 mpaka 300 - 138,881 kila mmoja
Zawadi za pesa, zitawekwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 (siku 3 za kazi) baada ya promosheni hii kuisha. Washindi wanatakiwa kucheza mzunguko mmoja wa pesa hali katika mchezo wowote wa Playson na malipo ya pesa yatafanyika moja kwa moja. Utaweza kuitoa pesa au ukaendelea kuitumia kwenye michezo mingine kwenye tovuti yetu. Zawadi ya pesa ipo katika mfumo wa euro na thamani ya pesa inabadilika kulingana na kiwango cha kubadilisha fedha kwa wakati huo.
Vigezo na Masharti ya Shindao la Cash Parade
Cash Parade ni 'mashindano ya mtandao'. Wachezaji wote kutoka kasino zote mtandaoni zinazotoa michezo ya Playson wanaweza kushiriki kwenye mashindano. Hakuna uhakika kuwa mchezaji yeyote wa kasino ya Meridianbet atashinda zawadi yeyote. Zawadi huamuliwa kwa jumla ya ushindi alioupata kila mchezaji wakati wa mashindano tu.
Meridianbet na Playson wanahaki ya kubatilisha matokeo au kutolipa zawadi pale ambapo sehemu ya/matokeo yote yameathiriwa na tatizo la kimfumo (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyosahihi) ambalo limetokana na mashine au ubinadamu katika mchezo wowote unaoshiriki.
Pia, Meridianbet na Playson wanahaki ya kubatilisha matokeo au kutolipa zawadi endapo kwa maoni yetu, sehemu ya/matokeo yote ni matokeo ya udanganyifu au yanafanana na wachezaji wengine.
Meridianbet na Playson wanahaki ya kuboresha au kusitisha promosheni hii muda wowote.
0 COMMENTS:
Post a Comment