LEO Aprili 27 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili kuna mechi mbili ambazo zitachezwa kwa timu kusaka point tatu muhimu.
Uwanja wa Gwambina Complex itakuwa ni Gwambina FC v Mwadui FC, saa 10:00 jioni.
Uwanja wa Mkapa ni Simba v Dodoma Jiji, saa 1:00 usiku.







Mnyama weka upande hao kweupekweupe muondoke na pointi tatu msionekane nyie bali nyayo zenu tu msionekane wapi mmekwenda
ReplyDelete