VIDEO: MTIBWA SUGAR SIMBA NI TIMU KUBWA AFRIKA, YAYEYUSHA NDOTO ZA UBINGWA
OFISA Habari wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba ni timu kubwa Afrika. Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikubali kichapo cha mabao 5-0.
0 COMMENTS:
Post a Comment