VIDEO: YANGA WATOA TAMKO KUHUSU MANJI KURUDI
ZIKIWA zimeenea tetesi kuhusu mwekezezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji kurudi kuwekeza katika kikosi hicho tena uongozi wa Yanga umesema kuwa hakuna tatizo ikiwa atahitaji kurudi arudi tu wanamkaribisha.
Majogoo kuchi wawili hawawezi kuishi katika banda moja
ReplyDelete