NAHODHA wa kikosi cha Tanzania Prisons, Benjamin Asukile amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) michezo mitano na faini ya shilingi 500,000 , (laki tano).
Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetumwa na TFF kupitia Ofisa Habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa TFF ilipitia ripoti mbalimbali za michezo ya Kombe la Shirikisho , (Azam Sports Federation Cup) baada ya kumalizika raundi ya tano ikiwemo mchezo namba 094 kati ya Tanzania Prisons v Yanga.
Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-
Je wao TFF wanapofanya madudu yao ni nani anayewawajibisha?
ReplyDeleteUsanihi hii ni kua Soo ya Jmosi
ReplyDeleteHuyo ni Askari akitoa tuhuma za rushwa wawe wakweli pls
ReplyDeleteWanajaribu kututoa kwenye reli, Asukile alichosema labda ana uhakika nacho, amehojiwa?
ReplyDeleteKwa nini Kabwili hakufungiwa?
ReplyDeletekanuni ni za utopolo tu!
ReplyDelete