May 10, 2021

14 COMMENTS:

  1. Hata muandike kitabu kizima bado hatuwaelewi!!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ile ya Yanga fupi ya paragraph mbili inaweza kuwa inaeleweka..kwamba wao wamepata taarifa ya muda kubadilika lakini kwa kanunu wanalijua wao wataenda cheza muda ule ule...kumbe kuna kanuni zingine za vodacom kanuni 10(2) na 10(4) zinasema kubadilika ni masaa tatu kabla ya timu kuingia uwanjani

      Delete
    2. Kanuni za vodacom?????Ndo zipi hizo?ina maana kila mdhamini akija basi atakuja na kanuni zake?Labda ulikuwa unamaanisha kanuni za uendeshaji wa ligi ambazo ni lazima ziendane na kanuni mama za shirikisho

      Delete
    3. ni kanuni za ligi kuu ya Vodacom
      labda mwandishi hakutaka andika mengi..
      mfano wa barua ya Yanga..fupi paragraph 3 na zile za bodi ya ligi na ya Simba.

      Delete
    4. Jamani hebu tusiongee kshabiki tuwe wakweli tff wamekiuka kanuni wamefanya mambo kienyeji na ndomaana wanakosa nguvu ya kuwachukulia hatua yanga,nakwahilo ilitakiwa Wallace karia ajiuzulu

      Delete
  2. Naona na wao wanawatupia mpira tff

    ReplyDelete
  3. Hapakutumika ueledi kwenye maamuzi, ni ngumu sana kujitetea. Ni bora waseme maagizo yalitoka kwa nani basi yaishe.

    ReplyDelete
  4. agizo la kubadili muda lilitoka serikarini na kanuni stahiki za ligi ya Vodacom kanuni 10(1) na 10(2) zilifuatwa..na taarifa walipewa saa saba!
    ndiyo mbumbumbu atajua hajui

    ReplyDelete
  5. Ila kwa kikosi kile cha Simba, hata mimi timu yangu ni nduukiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mara ngapi umekuwa na kikosi kizuri kuliko yanga na bado ukashindwa kuonyesha ubora wa kikosi chako?.Kwa walichokifanya yanga juzi imetuonyesha washabiki gani ni "MASHABIKI MAANDAZI" na wepi ni mashabiki wanaoujua mpira na kanuni zake.Mashabiki wanaoujua mpira na kanuni zake bila kujali kama ni wa yanga ama simba wote walikaa upande mmoja kukipongeza kitendo kilichokifanywa na yanga kwa kuwaumbua na kuwakumbusha TFF kwamba muda wa kuendesha soka kienyeji kwa jinsi wanavyotaka wao na kwa matakwa yao sasa umekwisha,kinachotakiwa ni kuzingati,kufuata na kuziheshimu kanuni za soka.

      Delete
    2. Huongelei juu ya kanuni ila unaongea kishabiki

      Delete
    3. Huongelei juu ya kanuni ila unaongea kishabiki

      Delete
  6. Sio lazima mara zote kung'ang'ania kanuni wakati unaona kbs Kuna madhara/hasara kubwa itatokea .... Kwan mngecheza mngepata hasara gani... Mmeogopa mziki wa Mnyama nyie hamna lolote

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic