May 14, 2021

 


BRUNO Fernandes,  nahodha wa Manchester United amesema kuwa kila mchezaji alipoteza furaha baada ya kichapo mbele ya Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu England. 


Ikiwa Uwanja wa Old Trafford ubao ulisoma Manchester United 2-4 Liverpool na kuwafanya waache pointi tatu zikisepa na wapinzani wao.


Fernandes amesema kuwa walijipanga kupata ushindi ila mambo yakawa magumu kwao.


" Ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo kila mchezaji hakuwa na furaha na hatujafurahi kweli kufungwa ila hakuna namna.


"Wametumia makosa yetu na tumeona makosa yetu tutajifunza kupitia makosa," .

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic