UWANJA wa FNB Soccer City
Kipindi cha pili kinakwenda kuanza
Mapumziko
Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya robo fainali
Kaizer Chiefs 2-0 Simba
Dakika ya 45 Chama anapiga kona haizai matunda
Dakika ya 44, Onyango anacheza faulo ndani ya 18 inakuwa kona ya tatu kwa Kaizer Chiefs
Dakika ya 39 Chama anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 37 Manula anaokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 36, Wawa anacheza faulo
Safu ya ulinzi ya Simba imekosa utulivu katika dakika hizi 35 na kuruhusu kufungwa mabao mawilo
Dakika ya 34 Nurkovic anapachika bao
Dakika ya 28 Kaizer Chiefs wanapata kona ya pili
Dakika ya 26 Luis Miquissone anachezewa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 22 Chama anapiga kona ya kwanza, Bwalya anapiga shuti nje ya lango linakwenda
Dakika ya 18 Lwanga anacheza faulo
Dakika ya 14 Lwanga anazima mashambulizi baada ya Mkude kuchezwa faulo
Dakika ya 12 Mugalu anakosa nafasi ndani ya 18
Dakika ya 10 Nurovic anaotea
Dakika ya 5 Goal kichwa Eric Mathoho kwa kichwa akiwa ndani ya 18
Dakika ya 3 Manula anaokoa
Wapigwe tu
ReplyDeleteMarehemu alikuwa na mdomo mrefu kama samaki
ReplyDeletemarehemu ni aliye cheza na Namungo, anacheza kimataifa kupitia ukarimu wa simba..
Deletemarehemu ni ambaye hata nane bora FA kaingia kwa kubebwa na refa
TFF oyee
ReplyDeleteWalikua wanaharibu hali ya hewa mjini hao
ReplyDeleteKipondo cha paka mweusi mwizi....teh teh.
ReplyDeleteKwa mkapa tutawapiga nyingi
ReplyDeleteKweli kabsa hzi ndo faida tano alizozipata simba kwa yanga 4g
ReplyDelete👏
ReplyDeleteMUNGU hajaribiwi, mlifanya figisi na OFF ili mechi ialishwe mpate et mda wa kujiandaa sasa siyo mbaya nguruwe fc 4G inatosha
ReplyDeleteDuh kwani jana ilicheza Simba au Skmba Queens, mbona Miquissone na Chama sijawasikia kabisa?
Delete