May 24, 2021

8 COMMENTS:

  1. Kama ilvorlezwa hapo juu Sima Yateka Kikosi Bora Afrika. Ni Simba tu tena si Afrika ya mashatiki au Tanzania au Afrika ya mshariki.bsli Aftiks nzima. Poleni sana walioumia kwa hayo ndio hali ya dunia

    ReplyDelete
    Replies
    1. KHAJI MANARA alipowaita baadhi ya waandishi wa habari wa michezo Tanzania kuwa ni takataka wenyewe wakawaka na kijifunga kibwebwe kuhakikisha MANARA na timu yake wanasulubiwa mpaka waonekane sio lolote si chochote.
      Utakataka huo na ujinga wa baadhi ya waandishi wetu wa michezo ulikuja kujizihirisha zaidi pale Simba ilipoteza goli nne kwa mduara kule South Africa. Waandishi hao takataka wa habari waligeuka vituko kwenye vituo vyao vya redio na kwenye mitandao ya kijamii hata magazetini. Inaonekana kabisa waandishi wetu wengi wa michezo hawana taaluma za mchezo halisi wa mpira wa miguu na maatokeo yake. Brazil aiifungwa goli Saba na ujerumani lakini matokeo Yale hayajauondoa ubora wa Brazil kama Brazil kwenye mpira. Alhaly alitetemeshwa na Simba kiasi ambacho katika hali ya Utakataka wetu kwenye uandishi Kama watanzania tukasubutu kusema Ahly hii sio yenyewe tukashindwa kuipa Simba credit katika ubora wake. Katika hali ya Utakataka ule ule kama watanzania tukaipamba Sana Mamelodi sundown kuwa ni bora zaidi na zaidi kuliko kusimba.
      Sasa Mamelodi sundown kashindwa kupata ushindi wowote zidi ya Alahly ambayo sisi wanatakataka tulisema Alahly ilifungwa na Simba kwakuwa Ahly ya sasa sio yenyewe. Nadhani Ingekuwa uungwana kwa baadhi ya waandishi na vituo vya habari kuwaomba radhi Simba na wanachama wao kwa kuwakosea heshima na kwa kuokesea adabu mchezo wa mpira miguu.
      Ila kauli ya KHAJI MANARA yakuwa tuna waandishi wengi takataka ni hailali kabisa na anaenuna na kuhaha basi wacha aendlee kuishi Kwenye muhaho maana Simba hawa siwaoni wakirejea kwenye Utakataka tena kwa hivi karibuni.

      Delete
  2. Na sio mara ya kwanza kwa Simba kufanya hivyo,uto wataishia majungu tu mnyama anazidi kupanda chati na thamani inaongezeka,majungu si mtaji wangeshakua matajiri na wakifanya mchezo wataishia nafasi ya tatu wakacheze shirikisho wapumbavu sana uto.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mikia mmetolewa na timu iliyoko much ya pili ktk ligi..je ingetoka kwenye nusu ya kwanza?

      Delete
  3. Takataka itajulikana tu msimu ujao maana mbeleko imeshawabeba tuone watafika wapi?wapumbavu sana yani kwakweli nashindwa kuelewa kwann baadhi ya watanzania hawajielewi?au wana uzuzu?

    ReplyDelete
  4. Simba kama udi kilu kiongezea moto ndio huzidi kunukia na kila inapotukanwa ndio huzidi kushamiri. Napenda Simba yetu

    ReplyDelete
  5. Msimu ujao,msimu ujao,msimu ujao,msimu ujao mara 10.Kila msimu mtakuja na visingizio vya kila aina.Baiskeli ya kunolea visu kelele nyingi lakini ipo pale pale. Kawadaini GSM na engineer feki kombe la ubingwa. Ohh mkikosa ubingwa niulizeni mimi.Utopolo kuwahadaa rahisi sana na wakambeba kama zama za utumwa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic