May 14, 2021

 


KESHO Uwanja wa Majaliwa, Namungo FC ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mzunguko wa pili.

Mchezo wa kwanza, Yanga walikubali sare ya kufungana bao 1-1, Uwanja wa Mkapa na kufanya wagawane pointi mojamoja.

Katika mchezo huo Nassredine Nabi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga atakosa huduma ya beki wa kati Abdala Shaibu, 'Ninja' ambaye anasumbuliwa na tatizo la misuli.

Ninja amekuwa kwenye ubora wake kwenye mechi za hivi karibuni ambapo alikuwa ni chaguo la kwanza la Nabi raia wa Tunisia.

Mbali na Ninja pia Yanga itakosa huduma ya Carlos Carlinhos ambaye ni kiungo mshambuliaji ambaye naye anasumbuliwa na tatizo la misuli.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wachezaji hao wanaendelea na matibabu ili waweze kurejea kwenye ubora.

7 COMMENTS:

  1. Hawa majeruhi ndio wqliwafanya utopolo wakimbie wqla sio kanuni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe umetokea matakoni na weww maandishi msenge unaruhusuje blog yako watu watukane

      Delete
  2. Rodrick usijali.Wamebakia matusi mpira umewashinda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii blog wanapitia maoni ya watu wanaporuhusu watu kupost matusi ina maana na hao ni sehemu ya wahusika

      Delete
  3. ukiona jitu linacomment upuuzi jua tu ni la timu mbumbumbu. Kama siyo kanuni kuvunjwa mbona mikia hamkupewa ushindi. Tatizo mbumbumbu mnatumiaga nguvu bila akili, Sope wenu ameshawamaliza akili zenu, chochote anachokisema mnakibeba kama msahafu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic