ASHA Masaka mfungaji bora wa Ligi ya Wanawake Tanzania amesema kuwa ili kuweza kufikia mafanikio ni lazima kupambana bila kukata tamaa huku akiwapa pongezi mabingwa wa taji hilo ambao ni Simba Queens.
Asha pia amewaomba mashabiki wasiwe wanyonge wana amini kwamba msimu ujao watafanya vizuri kufikia malengo ambayo wamejiwekea.
0 COMMENTS:
Post a Comment