VIDEO: BAO LILILOFUTWA STUMAI ALITAJA KUWA BAO BORA, ATAJA KILICHOMPONZA
MSHAMBULIAJI namba moja wa kikosi cha JKT Queens ambaye yupo pia kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Wanawake Tanzania, Stumai Abdalah, amesema kuwa anaamini kwamba amefunga mabao 30 licha ya bao lake moja kufutwa pia ameweka wazi kwamba suala la majeruhi limemfanya ashindwe kuwa mfungaji bora kwa msimu huu wa 2020/21 ndani ya ligi hiyo huku akiwaomba wadau waendelee kuisapoti ligi hiyo kwa kuwa msimu ujao ushindani utakuwa mkubwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment