VIDEO: DAUD YANGA APIGA HESABU KUSHTAKI KISA KUYEYUKA KWA MECHI YA SIMBA V YANGA
DAUD Yanga, shabiki wa Yanga amesema kuwa kuyeyuka kwa mechi ya Simba na Yanga Mei 8 kulimsababisha ayeyushe jumla ya laki nne kutokana na kuwekeza gharama kubwa na mwisho wa siku waliambulia patupu na anahitaji alipwe pesa zake.
Kisa ilikuwa kuinusuru Yanga pamoja na kocha mpya
ReplyDeleteTena walikuwa wakishangilia timu yao ilipokuwa iliondoka
DeleteNi haki yake kurudishiwa gharama zake, kwani yeye alikata tiketi kwa mpira uliokuwa uchezwe saa 11 jioni na si wa saa moja usiku. Wasiojua maana ya muda na gharama zao "ni jukumu lao kuendelea kujiuliza kwanini hawapati maendeleo na kusingizia kudra ya Mungu"
ReplyDeleteMuda ni mali ni wapumbavu pekee wasiojua thamani ya muda.
Kwa hiyo kukimbia ndo kutunza muda
Delete