KIUNGO wa Simba, Hassan Dilunga amesema kuwa suala la jina lake kukosewa kwenye timu ya taifa hawezi kulizizungumzia kwa kuwa wao wanajua kwa kuwa wamesema wamekosea basi iwe hivyo.
Jina la Hassan Dilunga liliwekwa kwenye orodha ya maandishi juzi kisha baadaye Shirikisho la Soka la Tanzania, (TFF) likaeleza kuwa walikosea kwa upande wa maandishi na anayehitaika ni Mudhathir Yahya.
Pia ameweka wazi kwamba wanahitaji kufanya vizuri na kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho mapema
0 COMMENTS:
Post a Comment