VIDEO: KOCHA NAMUNGO AWEKA WAZI SABABU ILIYOWAFANYA WAFUNGWE NA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Namungo, Hemed Morocco amesema kuwa wachezaji wake walifanya makosa kipindi cha pili jambo ambalo liliwafanya washindwe kulinda ushindi wao mbele ya Simba, Uwanja wa Majaliwa na kuruhusu ubao kusoma Namungo 1-3 Simba.
0 COMMENTS:
Post a Comment