VIDEO: MASHABIKI WA YANGA WAWAPOKEA KAIZER CHIEFS
WAPINZANI wa Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua ya robo fainali, Kaizer Chiefs wamewasili ardhi ya Tanzania, walipotua Bongo baadhi ya mashabiki ambao wanaaminika kuwa ni wa Yanga walijitokeza kuwapokea, na maneno yao ni kwamba wale ni ndugu zao.
Dah nini sasa, tuwaachie simba wenyewe wamalizane nao, maana...
ReplyDeleteKweli yanga kuna watu wajinga. Kama wewe ni mngoni wa south africa si uende, unangoja nini hapa tz. Eti nampokea kwa mahaba, angalia utaliwa kiboga na hao wasela wa south. Eti naenda fifa, fifa hawapokei kila taka taka inayojitokeza, kuna taratibu. Hiyo nauli ya kutoka songea tuu kuja dar inakutoa roho, utaweza kulipia maombi yako fifa? Mnakeraaa
ReplyDeleteSometimes mwandishi uwe unatafakari kabla ya kuandika
ReplyDeleteHao ni washamba washamba fulani waliotoka vijijini wanakuja jijini kushangaa mazingira na kujipachika ushabiki ili kuficha ushamba wao.
Acha uongo wewe na yule kiongozi aliyevaa jezi ya kaizer chiefs utamuitaje
DeleteWao ni kazi yao kupokea tena hufata huko air port. Ilikuwa kila mchezaji aliefika au kocha utakuta wamejazana airpor na kwa mfano waliokwenda kumpokea Kaze kwa mbwembwe nyingi na baada miezi wakaanza kutimuwa pamoja na makocha wa ulaya lakini wakati wanapowatimuwa hawendi huku airport kuwaaga ndio waliokosa fadhila
ReplyDeleteSio wa vijijini tu hata wa mjini, uto ni uto wote ni washamba
ReplyDeleteTulieni nyie nguruwe fc dawa iwaingie, kwani kuwapokea kuna uhusiano na ushindi? Kule South Africa mlikufa 4G nani aliwapokea kenge nyie
ReplyDeleteTumekuelewa nyani
DeleteKwahiyo mnamlaumu jembe acsema hata kama w2 wanafanya mangumbuli akae kimya?
ReplyDeleteYanga yenyewe ni mzoga mtupu haishaingiliki wacha watu wake wakimbilie kushangalia timu za watu wengine.
ReplyDeleteHao roho zao chafu sana na ndio mana hawaishi mikosi na hayo ndio matunda ya uhasidi wao
ReplyDelete