May 30, 2021

KIPA namba moja wa Namungo, Nahimana amesema kuwa walishindwa kufuata mbinu ambazo walipewa kipindi cha pili jambo ambalo liliwafanya wapoteze na ubao wa Majaliwa kusoma Namungo 1-3 Simba baada ya dakika 90 kukamilika, Mei 29.

 Kipa huyo ameongeza kwamba mabao ambayo wamefungwa na Simba ni wachezaji wamewapa kwa sababu walifanya makosa kisha wapinzani wao wakawaadhibu. Ameweka wazi kwamba bado timu itapambana kurudi ndani ya nne bora kwa kuwa kuna mechi zipo mkononi ili warusi kimataifa. 

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic