SHABIKI maarufu wa Simba, Aggy Simba amesema kuwa walikuwa kwenye presha kubwa jana wakati wapinzani wao Namungo wakiongoza kwa ushindi wa bao 1-0 ndani ya dakika 45. Aggy amesema kuwa bao la Morrison ni bao la msimu kwa kuwa ni bao zuri na linafungwa na wachezaji ambao wanatoka ndani ya kikosi cha Simba akiamini kwamba litamrudisha mchezaji huyo kwenye mchezo
hivi kesi ya Morrison imeishia wapi?
ReplyDeletehaiwezekani akawa anafanya mambo kama yale halafu anaachiwa tu
Ha ha ha ha ha ha ha bado caf hawajatoa majibu,Ila muda sio mrefu lazima litaamshwa upya,yanga wanajipanga yani kabla ya dabi lazima kinuke upyaaa.
DeleteHapo ilipigwa Majaliwa Simba Fc
ReplyDelete