VIDEO: NYOTA SIMBA QUEENS AFUNGUKIA KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO
NYOTA wa Simba Queens inayonolewa na Mussa Mgosi amesema kuwa maelekezo ambayo wanayapata kutoka kwa kocha mkuu pamoja na sapoti ni moja ya sababu inayowafanya waweze kufanya vizuri katika Ligi ya Wanawake Tanzania.
0 COMMENTS:
Post a Comment