VIDEO: MLANDIZI QUEENS WATAJA SABABU YA KUKUBALI KICHAPO CHA 4G
BAADA ya kikosi cha Mlandizi Queens kukubali kupoteza kwa kufungwa mabao 4-0 dhidi ya Simba Queens mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa Mo Simba Arena,Mei 13, wachezaji wa Mlandizi Queens wameweka wazi sababu za kushindwa kupata matokeo chanya ni pamoja na kushindwa kutumia nafasi ambazo walitengeneza.
0 COMMENTS:
Post a Comment