KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassreddine Nabi kimewasili salama leo Mei 17, Dar kikitokea Mtwara.
Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Namungo FC, Mei 15 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa.
Baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Namungo 0-0 Yanga na kuwafanya wagawane pointi mojamoja.
Leo kimerejea ili kuanza maandalizi ya mchezo wao ujao dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuchezwa Mei 19, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Kwa msimu ujao Yanga asahau ubingwa.
ReplyDeleteKwa baraka za Senzo ambae hakukata tamaa kaahidi ubingwa msimu huu
ReplyDelete