June 19, 2021

 


LEO Juni 19, Uwanja wa Azam Complex kutakuwa na mchezo wa fainali ya Ligi Kuu ya Vijana,  U 20 ambapo ni Yanga v Mtibwa Sugar saa 1:00 usiku.


Yanga ilitinga hatua ya fainali baada ya ushindi wa penalti 6-5 mbele ya Azam FC baada ya dakika za kawaida ubao wa Azam Complex kusoma Azam 1-1 Yanga.


Mtibwa Sugar wao waliwanyoosha Simba mabao 3-1 katika mchezo wa nusu fainali.


Saa  10:00 ni mchezo wa kumtafuta mshindi wa pili kati ya Azam FC v Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic