June 13, 2021

 




FT: Tanzania 2-0 Malawi
Mchezo wa kirafiki
Uwanja wa Mkapa
Dakika ya 90 zimekamilika zinaongezwa dakika 3
Dakika ya 89, Manula anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 83, Abdul Suleiman anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 74 Goool Israel Mwenda
Dakika ya 67 Gooool Bocco kwa pasi Kibu Denis
Dakika ya 57 Malawi wanapata faulo nje kidogo ya 18, Fei Toto anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 56 Chimweme anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 55 Bocco anafanya jaribio linaokolewa na mlinda mlango wa Malawi.
Dakika ya 49 Manula anaokoa shuti la Banda
Lyanga Ayoub anaingia, Mzamiru Yassin akichukua nafasi ya Mudhathir
Kipindi cha pili
Mapumziko 

Zimeongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Bocco anafanya jaribio linaokolewa 

Dakika ya 44 Mhilu anapeleka mashambulizi ndani ya Malawi
Dakika ya 27 Mhango anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 24  Nyoni anapeleka mashambulizi Malawi
Dakika ya 22 Peter Banda anafanya jaribio linakwenda nje ya lango 
Dakika ya 20 Fei Toto anapokwa mpira 
Dakika ya 18 Manula anaanzisha mashambulizi 

Dakika ya 17 Malawi wanapata kona inapigwa na Banda
Uwanja wa Mkapa

Dakika ya 13 Fei Toto anajaza majalo eneo la Malawi
Dakika ya 10 Malawi wanapeleka mashambulizi 
Dakika ya 2 Bocco anafanya jaribio linakwenda nje ya lango 

Mchezo wa kirafiki ulio katika kalenda ya Fifa


Tanzania 0-0 Malawi


Dakika ya 15

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic